Duration 10:38

MAAJABU ya Mtoto ALIYEGONGA ‘A’ Masomo Yote, Mbunge SHIGONGO AMFANYIA JAMBO ZITO..

76 430 watched
0
468
Published 12 Jan 2021

MAAJABU ya Mtoto ALIYEGONGA ‘A’ Masomo Yote, Mbunge SHIGONGO AMFANYIA JAMBO ZITO.. MWANAFUNZI Said Yusuph Robert aliyekuwa akisoma katika Shule ya Msingi Luholongoma, Kata ya Kafunzo, Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza, ambaye anatokea kijijini katika familia isiyo na uwezo, amefanikiwa kufanya vizuri katika matokeo yake ya mtihani wa taifa wa darasa la saba kwa kupata alama ‘A‘ katika masomo yake yote. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 193