Duration 5:6

News : Polisi wasaka wezi wa mifugo Baragoi

213 582 watched
0
595
Published 20 Nov 2012

Kamanda wa jeshi anayeongoza operesheni huko mlima Suguta kanali John Kibasu warioba amewataka Wakenya kutotoroka maeneo ya Baragoi kwa kusema kuwa idara za kiusalama hazina haja na Wakenya wapenda amani ila inawafuatilia waasi waliowaua maafisa wa polisi. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv

Category

Show more

Comments - 23