Duration 13:15

TIBA YA ASILI YA UGONJWA WA PUMU (ATHMA) +

3 373 watched
0
22
Published 18 Jul 2021

________________________________ *TIBA YA ASILI YA PUMU [ATHMA]* _____________________________ Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. _____________________________ Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili sugu (chronic Inflammation) kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii, kujaa kwa ute mzito (mucus) na kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, hali ambayo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa hewa nje na hivyo kupumua kwa shida sana. _____________________________ *SABABU ZA KUPATA PUMU* _____________________________ [1] VINASABA: Matatizo ya kinasaba yamehusishwa na kutokea kwa karibu asilimia 90  ya ugonjwa wa pumu hususani kipindi cha utoto. [2] Uvutaji wa sigara au tumbaku kipindi cha ujauzito pia unahusishwa na kusababisha pumu kwa mtoto atakayezaliwa. [3] Magonjwa ya mapafu kama bronchitis [4] Vyanzo vya mzio (allergens) kama vile vumbi, vinyesi vya wanyama na baadhi ya vyakula. [5] Uchafuzi wa mazingira kama moshi na baadhi ya harufu kali. [6] Baadhi ya kemikali kwenye maeneo ya kazi hasa kwenye viwanda kama vya rangi, chuma, sementi na vigae. [7] Baadhi ya wagonjwa wanaotumia dawa za kushusha shinikizo la damu zilizo katika jamii ya beta-blockers kama vile propanolol wapo katika hatari ya kupata shambulio la ugonjwa wa pumu. [8] Magonjwa kwenye mfumo wa kupumua yasabishwayo na baadhi ya virusi na bakteria kama vile rhinovirus, Chlamydia pneumonia au Bordetella pertusis. [9] Matumizi ya mapema sana ya baadhi ya dawa hasa antibiotiki. [10] Ongezeko la msongo wa mawazo huweza kusababisha pumu na matatizo katika mfumo wa upumuaji [11] Upasuaji wakati wa kujifungua (caesarian section): _____________________________ *DALILI ZA UGONJWA WA PUMU* _____________________________ [1] Kuishiwa na pumzi na kupumua kwa shida (shortness of breath) [2] Kutoa sauti kama mtu anayepiga miluzi wakati wa kupumua (wheezing) [3] Kukohoa sana (chronic cough) hasa nyakati za usiku au asubuhi Kubana kwa kifua. [4] Kwa mtu aliyepata shambulizi kubwa la pumu (severe asthmatic attack) anaweza kushindwa kuzungumza na pia kuwa na hali kama ya kuchanganyikiwa. _____________________________ *MATIBABU YA UGONJWA WA PUMU* _____________________________ Kwa ujumla matibabu ya pumu hujumuisha kuepuka visababishi vya ugonjwa huu na matumizi ya Dawa, Tunayo tiba ya Asilii ya ugonjwa huu wa pumuu Isio na Madhara hasiii. Itakayo tumiwa na muhusika kwa muda wa Wiki 3 hadi 4 _____________________________ *JINSI YA KUPATA HUDUMA* _____________________________ Tunapatikana jijini DAR ES SALAAM, MTONI KIJICHI soma hii meseji mpaka mwisho Kwa wateja waliopo Dar Es Salaam, ambao hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali popote walipo. Kwa wateja waliopo mikoani, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi. Kwa wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti. Kwa wateja waliopo Mombasa, watatumiwa dawa kupitia basi la TAHMEED. Kwa wateja waliopo jijini Nairobi, watatumiwa dawa kupitia basi la DAR EXRESS. Na kwa wateja waliopo ughaibuni, watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA ARAMEX au DHL Njia ya haraka ya kuni kuoata huduma na ushauri ni WHATSAPP kwa namba hii kama simu yako naina WHATSAPP eleze shida yako kwa sms ya kawaida nikipata muda nitakujibu BIDHAA ZOTE HIZI NI ZA ASILIA KABISA NA HAZINA KEMIKALI ZA VIWANDANI KARIBU NA ASANTE _____________________________ *ZINGATIA* _____________________________ Ni vizuri kutoa maelezo ya kina kabla ya matibabu. ________________________________

Category

Show more

Comments - 1