Duration 7:23

DADA WA ALIYEKUWA WAZIRI WA ULINZI “HAKUPATIKANA KWENYE SIMU TUKAJUA NI KAZI

30 333 watched
0
69
Published 7 Aug 2021

Tayari maandalizi ya kumhifadhi aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu marehemu Elias kwandikwa aliyefariki Agosti 02 yanaelekea kukamilika kijijini kwao Butibu halmashauri ya Ushetu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga Tumefanikiaa kumpata na kuzungumza nae Dada yake aliyekuwa akiwasiliana nae kwa karibu Magreth Kasiga ambaye amesema walimtafuta kwenye simu hakupatikana baadaye taarifa wakazipata kuwa anaumwa amelazwa "Kulikuwa na msiba nyumbani tulimtafuta kwenye simu hatukumpata nikawambia nyumbani atapatikana hata ule muda aliotuambia tumtafute tukamwambia Katibu wake nae akasema hapatikani nikampigia Kaka yake wa Tabora akasema huyu jamaa anaumwa"———Magreth Kasiga

Category

Show more

Comments - 11