Duration 11:33

WAGOMBEA UBUNGE, UDIWANI CCM KAA LA MOTO

6 722 watched
0
32
Published 2 Jun 2020

Chama cha Mapinduzi kupitia katibu wake wa Itikadi na Uenezi wametangaza kuanza kwa mchakato wa kutafuta wagombea kwenye uchaguzi mkuu mwezi oktoba mara baada ya kuisha kwa Bunge linalotarajia kufungwa na Rais Magufuli Juni 18, mwaka huu.

Category

Show more

Comments - 4