Duration 4000

KUWA CHANZO CHA FURAHA | Hamasa Ep. 35

4 712 watched
0
85
Published 22 Apr 2020

KUWA CHANZO CHA FURAHA | Hamasa Ep. 35 Maisha ni ya kipekee sana, kuna nyakati, dakika chache sana za kuthaminiwa na kutiliwa umuhimu zinaweza kukufanya usahau maumivu yote ya mwaka mzima. Kama kwako inawezekana na kwa mwingine inawezekana pia. Basi tenga dakika chache kwa ajili ya kuonesha umuhimu kwa mtu mwingine leo hii. Je, ni nani mwenye bahati hiyo leo hii? Usiiache nafasi hii ya kukufanya wewe kuwa bora zaidi, ikapotea hivihivi….chukua hatua! . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email EMAIL: successpathnetwork@gmail.com PHONE: Text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Kuwa #Chanzo #furaha

Category

Show more

Comments - 6