Duration 4:13

ULIPOFIKIA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANGA KILIMANJARO, MBUNGE ATOA NENO

249 watched
0
1
Published 15 Jul 2021

Mbunge Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro Joseph Tadayo amefurahishwa na maendeleo ya Ujenzi Jengo la Mahakama ya wilaya ya Mwanga. Tadayo ametoa kauli hiyo wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo. For more videos follow Boss TV, Kwa video zaidi bofya Boss TV

Category

Show more

Comments - 0