Duration 1:53

Kitenge akimzungumzia Samatta

271 watched
0
4
Published 29 Jan 2020

Maulid wa Kitenge mtangazaji na mchambuzi wa habari za michezo ndani ya Wasafi TV, akitoa maoni yake jinsi anavyomuona Samatta na anachotegemea kabla ya mechi yake ya kihistoria kwa mchezaji kutoka nchini Tanzania kucheza timu za Uingereza, kati ya Aston Villa na Leicester City.

Category

Show more

Comments - 0