Duration 49:43

Hii Ndio Ndege Mpya Iliyopokelewa Na Rais Magufuli Ya 1 Afrika

86 415 watched
0
418
Published 23 Dec 2018

Hii Ndio Ndege Mpya Iliyopokelewa Na Rais Magufuli Ya 1 Afrika Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 23, amepokea Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania. Ndege hiyo imewasiri leo majira ya saa 10:30 jioni na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Inasemekana kua Ndege hii kwa Afrika nzima Tanzania ndiyo nchi pekee iliyoweza kuinunua mpaka sasa! #RAISMAGUFULI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 213
  • @
    @davidcurtis85566 years ago Dah! Nilikuwa naisubiria sana hii ndege jamani ninafuraha mpaka najisikia kulia dah! Asante muheshimiwa magufuli mungu akupe umri akulinde na husda lakini . ...Expand 27
  • @
    @beatricerobert31676 years ago Am more than happy for tanzania but i could not be happy of tanzania without jpm. May god bless you always. I love you my president. 7
  • @
    @abelsabibi61926 years ago Jpm is the pride of our nation! Ni wakati mwafaka kwa watanzania kumuombea sana rais wetu kwani anapambana kurejesha heshima ya taifa letu na kama itawezekana . ...Expand 11
  • @
    @franksiame17906 years ago Mimi na raisi wangu jpm tumejipanga tanzania kama sauth africa. Kama nawewe uko tayali basi like. Hapa. 59
  • @
    @fidelslick20866 years ago Wonderful good work mr president and congrats to all tanzanians. 1
  • @
    @songashaban13326 years ago Mm na raisi magufuri tumeleta ndege nyingine mtupongeze kwa like nyingii. 11
  • @
    @sk-wj9or6 years ago Salute to you bulldozer.
    may god give you a long life.
    i m overseas but i break down with tears. Happy in my heart. Stand tall again proud of our motherland once again.
    1
  • @
    @jimmymusti1656 years ago Mjomba magu we ni kichwa kingine kwakweli, mungu akulinde miaka buku ili wananchi na nchi yetu izidi kupiga hatua. 10
  • @
    @dani721306 years ago Ahsante rais na hongera sana, mi nilikuwa nahisi aibu kwa nchi kama tanzania haina ndege, tumpongeze rais kwa juhudi na kuliona hili, si wote watakao muelewa. . ...Expand 10
  • @
    @chiefmahucha68476 years ago Namsubir kabwe zuber zitto, atuelezee jinsi anavoijua hiyo ndege, na kwamba si ajabu akatwambia kuwa imenunuliwa bei ghali san na huwenda akadai kuwa taratibu . ...Expand 12
  • @
    @nsajigwamwakibinga21866 years ago Mungu mbariki na umpe maisha marefu kwa kutuinua na kuwa mzalendo wa kweli pamoja sana jembe magu. 2
  • @
    @joshuaabel33866 years ago Mungu ibariki tanzania bariki kiongozi wetu mwaminifu kwa wananchi wake rais john pombe magufuri kwa kazi nzuri anazozidi kuzileta katika nchi yake na . ...Expand 14
  • @
    @gloriamichael79356 years ago Mh rais jpm nakuomba sana baba km c ndege mbili tu tuwafikie wale pale ili tuwapite oo jpm may our lord bring breakthrough upon you and for our country amen. 16
  • @
    @aishaaisha40666 years ago My good baba ye2 magufur mungu akuongoze. 8
  • @
    @mwanajumaomahundumla65046 years ago Najisikia raha mpaka nashindwa kuielezea asante mungu kwa kutupa mtu kama magufuli. 12
  • @
    @husseinnkenja81496 years ago Hongera mh. Rais hongera tanzania. Tuendelee kulipa kodi kwa maendeleo ya tanzania. 9
  • @
    @rahmajumanne84386 years ago Da amakwer mungu nimkubwa tz nac tunamiriki ndege zetu. 12
  • @
    @suleimansalim78456 years ago Safi sana rais wangu dr john pombe magufuli you are the best no one like you mungu akuzidishiye miaka mingi yaku ishi ili uzidi kuwapa raha wa tanzania. 5
  • @
    @shabanjokoro17196 years ago Simbaa raha! Airbus rahaa
    mungu ibariki tanzania.
    9
  • @
    @fatihiayohana67706 years ago Yani hii nnchi mambo haya ilibidi wayafanye akina mkapa la wajanja walikuwa wanakula tuu magu ilibidi aje kuipaka rangi tu tanzania amepewa mzigo mkubwa sana. 16
  • @
    @valentinamussa42126 years ago Majembe kama wewe tunahitaji sana ccm damu, hongera mheshimiwa. 15
  • @
    @mariacharles74696 years ago Wanzania tuunge mkono wazalendo wenzetu siasa tuwaachie wana siasa maana mtu humponda mwanzake kisa hawako chama kimoja na akihamia kwako huyohuyo husimama . ...Expand 9
  • @
    @annetmsafiri67046 years ago Mungu akubariki sana rais wetu kwa matunda haya tunayoyaona mungu akufunike kwa damu ya yesu kristu. 2
  • @
    @eliasraphael62296 years ago Hongera sana rais wangu mungu akulinde. 12
  • @
    @fabiankyando11896 years ago Asante sana mh rais jpm mungu akupe maisha marefu kwani tunaimani tanzania mpya inakuja. 6
  • @
    @shauriernest79346 years ago Hata enzi za kudai uhuru wapo waliosema wakoloni ni bora kuliko uhuru wao bado wapo kazi ni moja tu umoja wetu uzalendo knz washindwe walengee mungu akupe maisha marefu mpendwa wetu jpm. 2
  • @
    @mohdyussah8256 years ago From uae
    i preciate my president john p magufuli oyee.
    5
  • @
    @chiefmahucha68476 years ago Wote tunaomsubir zitto na wenzie waje kumwaga pumba togonge like hapa. 11
  • @
    @ernestsinje95326 years ago Nasikia furaha i love tanzania the gift of my christimas. 3
  • @
    @braysonchalamila16556 years ago Ulichelewa wapi kuja kulikomboa taifa hili mh rais magufuli? 9
  • @
    @dicksonmugezi70586 years ago Mzee wetu wewe unaangalia mbali si utalii tu ila hata watanzania watajivunia vya kwao wewe ni president. 12
  • @
    @salmaothman1536 years ago Ahsante mungu na rais wetu john pombe magufuli. 7
  • @
    @faithamour21546 years ago Hongera sana rais wetu jpm m, mungu hakupe uongozi miaka 100 safi sana nchi yetu iko juu tanzania kwa ajili yako rais wetu tunakupenda sanaa. 1
  • @
    @pasonlucas94816 years ago Hongera sana rais wetu mungu azidi kukutia nguvu nawe uzidi kufanya makubwa zaidi nakupenda sana. 2
  • @
    @gloriamichael79356 years ago Hata nikipanda ndege za wale natembea kifua mbele c na cc tuna ndege zetu. Mambo hayoo tanzania nakupenda sana. 15
  • @
    @lubimbijoseph24066 years ago Wapinzan ndan ya ccm na nje najua roho zenu zinawaka but ndo ivu mungu katenda. 6
  • @
    @winndelule23026 years ago Baba mim nasemaje cjawah kupiga kura but 2020 kura yang unayo. 3
  • @
    @amashakigelulye76326 years ago Kwa pamoja tulips kofi kwa maendeleo ya nchi. 5
  • @
    @anuaryally61776 years ago Ndege ndio iyoo sasa wale vyama vya mashoga wako wapi. 12
  • @
    @celeone26556 years ago Apa ndo napoamini kuwa " action taker is a game changer" ur leader n not auwez ridhisha wote well done my dear president jpm. 2
  • @
    @badenbensoni75166 years ago Tumuongeze muda wa kutuongoza. Maamuzi ni yetu. Anayebisha tupige kura. 27
  • @
    @muddyjuma72856 years ago Nashindwa kujizuia allah akulinde na kila lenye shari. 3
  • @
    @wahidawahida66756 years ago Yani ww rais inatakiwa uongozee tanzania miaka yote ya maisha yko ww nibora. 9
  • @
    @gloriamichael79356 years ago Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni hakuna haja ya kufafanua nimeeleweka. 27
  • @
    @t.e.l.cchurchkawekamob81036 years ago Ongera jpm, lakini wapumbavu na wajiga wata kukashifu. 4
  • @
    @araphabakari33986 years ago Asante mungu kwa kumuona raisi huyu maana wengi watataka wamuonelakini haitawezekana piga kazi mr presii tuko nyuma yako. 1
  • @
    @mwanajumaomahundumla65046 years ago Ha wale wanaotangazaga kilimanjaro ya kwao sasa wataisoma kwenye ndege ya tanzania. 18
  • @
    @beatricerobert31676 years ago Rais wangu sina usemi juu yako ila mungu akubariki you make tanzania. 5
  • @
    @m.mmarckus62986 years ago Tanzania mpya. Sasa tusubiri kuleee watatwambiaje kuhusu hii ndege. 16
  • @
    @zakariamufuruki17256 years ago Big up jpm (hatuna shaka na jpm ) hapa kazii tu!
  • @
    @DrFatmaKhanPanAfrikan6 years ago Magufuli oyee. Tunakupenda sana mpendwa rais wetu. 2
  • @
    @kallahassan48966 years ago Kwahuyu jpm watanzania tumuongezee mda wa miaka mitano iwe kuminatano jamani. 3
  • @
    @aishaaaa69876 years ago Mashaa allah m, mungu akuwezeshe uzidi kufanyaje vyema mh. Magufuli.
  • @
    @elizabethmwandu69376 years ago Hongera mh rais kwa kazi nzuri unayotufanyia watanzania.
  • @
    @sigfridshayo47156 years ago Chatting fromsanaunatupatia tunachopaswaya ukweli ninayoamini mimi ni kuwaletea wananchi maendeleo, ila sio inayohubiriwa na mabeberu na vibaraka wao. Piga kazi baba.
  • @
    @shauriernest79346 years ago Asante sana mh wetu mpendwa baada ya miaka mingi ya viongozi swenye uzalendo wa kweli kama nkuruma ghana, lumumba drc moses mashely musumb iji nelson mandela sa baba yetu wa taifa hili jk nyerere sasa ni mh jpm. 1
  • @
    @flowinkilangira15456 years ago Huku ndege linatua huku mnyama anapiga mtu piga keleleee. 7
  • @
    @lulushambazuri48616 years ago Mnao dislike ole wenu mkaipande maana kwakutaa hamjambo ila kupanda kimyakimya wa kwanza. 2
  • @
    @chusseboywcb28086 years ago Ogera selekali ya mangu uko vizuri sanaa nakupenda kula yangu hata usipige kampeni. 1
  • @
    @shammoha52976 years ago Air tanzania oyee! Magufuli oyee! Ccm oyeee! Mungu ibariki tz n watu wake. Ameen yaa rabbil allamiin.
  • @
    @anuaryally61776 years ago Rais mchapakazi kwa vitendo akuja kuwavesha kanga na vitenge amekuja kuleta maendeleo ya watanzania. 10
  • @
    @husnajohn74666 years ago Hata misri waliteseka miaka 40 lakini musa aliwapeleka ka an japo musa hakufanikiwa kuvuka mto jordan, jpm ni binadamu sio mkamilifu ila anatimiza ahadi kwa vitendo. 3
  • @
    @petermwenda11866 years ago Duh ulaya kama choon kama vip like hapa twende sawa magu baba mungu akulinde heshima kwako.
  • @
    @emmanuelaxwesso25296 years ago Nampongeza rais kwa juhudi kubwa aliyoionyesha kuifufua shirika la ndege ila tunaomba wananchi tufahamishwe mapato yanayotokana na ndege hizi zilizonunuliwa. 4
  • @
    @MajiTakaMaji6 years ago Fedha za uchaguzi wa 2020 wazipangie matumizi mengine tu. 2
  • @
    @geraldemmanuel2106 years ago Kwamtazamo wangu naona 2020 kusiwe nauchaguzi. Mh nilikukubali hata ulivyokuwa bado waziri. Magufuli oyee! 1
  • @
    @musitafaidulusi1546 years ago The best president in africa if am not mistaken even in the world.
  • @
    @elizabethmalingumu55376 years ago Kwan zamani magu alikuwa wapi saivi tz ingekuwa kama ulaya gonga like kama wampenda raisi wetu. 1
  • @
    @chrisamrichards60456 years ago Daah mr president wewe ni jembee
    hatari sana daah
    najua bdo nasubiri maendeleo makubwa mwanza
    am waiting for your.
    1
  • @
    @flavianamwaunga13106 years ago Umejipanga rais wetu hongera sana mwaka huu wataisoma.
  • @
    @shauriernest79346 years ago Asante baba mh jpm tunalala tunaamuka salama tunafanyakazi zetu vyema hiyo dmks ni zana ngani kwetu? Tupo kifua mbele. 1
  • @
    @georgeburtonburton67406 years ago Mungu akupe umri mrefu uendelee kutufanyia mambo mazuri mh. Rais magufuli.
  • @
    @gggjjahhhh94196 years ago Raisi wetu wapo wanaokusema vibaya wanakupondaa ila mimi nakupenda na ntarudi tena tanzania 2020 kukuchagua tena inshallah.
  • @
    @matondomahona59896 years ago Mkuu, ww mpaka kufa kwako, na asiyetaka ahame nchi, maana zpo nyingi tu. 2
  • @
    @thomasaloyce61646 years ago Ndio taifa ndo linakuwa ila ka no ushamba kupokea ndege kwa ngoma na mapambio na national media broadcast ikiwepo. Geez we need to grow up.
  • @
    @amrikadomo83286 years ago Hakika watanzania hawaamini mambo ambayo rais watu ana fanya hakika mungu aendele kumfunulia.
  • @
    @s.simponda1386 years ago Leo ninafuraha kweli! Simba kashinda ukijumlisha na ndege! Yani mambo ni mwemele! Mwemele! 7
  • @
    @charleschoma95556 years ago Raha sana usimamizi mzuri siku ya leo magufuri raha tanzania raha simba tanzania raha bao 3-1.