Duration 6:55

KAMATI YA BUNGE YAKAGUA JENGO LA OSHA DODOMA

1 544 watched
0
10
Published 23 Nov 2021

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imekagua jengo jipya la Ofisi za Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) lilipo Dodoma ambapo imeeleza kuridhishwa na ubora wa jengo husika. Ukaguzi wa Jengo hilo ulitanguliwa na kikao kifupi ambapo wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria walipokea taarifa ya ujenzi huo iliyowasilishwa na menejimenti ya OSHA ambapo kwa mujibu wa taarifa hiyo jengo hilo la ghorofa tano limegharimu kiasi cha shilingi bilioni 4.8, kiwango ambacho ni chini ya makadirio ya awali ya bilioni 6.56 pamoja na kodi.

Category

Show more

Comments - 3