Duration 4:41:40

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA HITIMISHO LA MAOMBI NA MFUNGO WA SIKU 40 20 Dec 2019

12 522 watched
0
197
Published 21 Dec 2019

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA HITIMISHO LA MAOMBI NA MFUNGO WA SIKU 40 20 Dec 2019 UJUMBE WA LEO:" START YOUR IMPOSSIBLE " " We are Called to be Architects of the Future , not it's Victims " Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro "FIKIRI KWA UPANA & ANZA KIDOGO" "THINK BIG START SMALL" " THUBUTU KUMIMINA" 2 Wafalme 4 : 1 - 7 2 Wafalme 4 : 1 - 7 1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha Bwana; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa. 2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta. 3 Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache. 4 Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa ukavitenge. 5 Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina. 6 Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma. 7 Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Enenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako. Kwa maombi na ushauri : Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

Category

Show more

Comments - 11