MAY 28 MWENGE KUTUA JIJINI TANGA.
Wito umetolewa na mkuu wa mkoa wa Tanga MH,ADAM MALIMA kwa wakazi wa Tanga kujitokeza kwa wingi katika shamlashamla za mbio za mwenge hapo kesho may 28, 2021
Lengo kuu ikiwa ni kukuza miradi kwa maslai ya watanzania.
Comment
Like
Share
SUSBCRIBE CHANNEL YETU...!
Follow us on Instagram
https://www.instagram.com/arbaabtv/?hl=en