Duration 3:34

WANAOZUSHIA VIFO VIONGOZI WAONYWA NA SERIKALI, MSIGWA AMUIBUA MZEE MWINYI “YUPO FIT, AMEKIMBIA KM 5

12 025 watched
0
43
Published 11 Jun 2021

“Serikali haijakaa kimya juu ya wahalifu wanaokashifu, kuzusha uongo na kuleta taharuki katika jamii ikiwemo uzushi wa taarifa za vifo vya viongozi. Wahusika watapatikana na hatua za kisheria zitachukuliwa. Watanzania tulieni na endeleeni kuchapa kazi”——-Msigwa

Category

Show more

Comments - 59