Duration 27:38

1ON1 na Barbara Gonzalez | Mipango, mikakati, malengo na ndoto kubwa za Simba SC (Exclusive)

45 337 watched
0
339
Published 7 May 2021

Ni mahojiano ya ana kwa ana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ambaye ameeleza kwa kina mipango, malengo na ndoto kubwa alizonazo kuipelekea Simba 'next level' (viwango vya juu) . Hapa anazungumza na Philip Cyprian na miongoni mwa mambo aliyoweka wazi ni kuhusu mchakato wa mabadiliko, usajili, mipango ya kufanya vizuri kimataifa pamoja na matarajio yake kuelekea mechi ya watani wa jadi, Simba vs Yanga Mei 8, 2021. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 65
  • @
    @ckanjason76753 years ago Yesa real simbaim really apreciating yo views mydear sister. Yo' so smart barbara. This is simba the next level! 1
  • @
    @solomonmassangya81873 years ago Tunakupenda ceo wetu uko vizuri unasifa zote.
  • @
    @rehemabakali4943 years ago Dada km dada maashaallah allah akusimamie ktk kila hatua yko ila umependeza na ulivyojistiri umebadilika. 4
  • @
    @andulilemwakihabha20483 years ago Nakukubali sana sister barbara wew ni mchapa kazi mtu wa kazi simba nguvu moja. 5
  • @
    @isayastephan20263 years ago Hongera sana ceo wetu mungu akupiganie. 2
  • @
    @silivanatemu30903 years ago Hongera sana madame, upo vzr sana, mungu akujaalie na pia azidi kuijalia ssc. 4
  • @
    @waziribori22803 years ago Wanasimba tumepata kiongozi mwenye weledi wa uongozi kiujumla kisoka, kibishara kwa modern ya soka ya sasa hivi big up ceo wetu wengi tunakukubali sana. 2
  • @
    @hayramswalehe49763 years ago Umependeza mrembo uko tofaut xana, xhungi umefunga vizury xana washa moto me nakupenda sana kwakua hauna asil ya dharau. 1
  • @
    @zumbeshauri81143 years ago Naomba mungu simba ishinde kumuheshimisha huyu dada wallah wanawake wanaweza wakiwezeshwa. 2
  • @
    @kelvin83243 years ago This is what i call cooln brains. All africa giant magazines should meet madam c. E. O.
    me: wakenya munasemaje?
    kenyans: madam c. E. O ni mkenya.
    1
  • @
    @tanzaniatouristsattraction16223 years ago Hawa ndo watu wa kusikikiza sio. Kina lulu diva. 2
  • @
    @rwangakugwabirakarl883 years ago Tu es vraiment jolie# barbara gonzalez.
  • @
    @abdulmalickupete90153 years ago Endelea kujistiri unapendeza na niheshima kwa kwako na simba sc. 3
  • @
    @abbyadams86913 years ago Mi ni mwananchi damu ila huyu dada namkubali kwa kweli, kichwa sana. 2
  • @
    @ayoublupande39873 years ago Umependeza san ushungi cio wetu tunakupenda. 1
  • @
    @davidicjunior89693 years ago Hongera sana mungu akuzidishie utashi katika maisha yako na uongoz wako katika timu big up madame. 6
  • @
    @geofreysenka70913 years ago Mwashi kitoko ya simba arobi makambo ya bien toujour makambo madam gonzalez zambe pesa lupemba.
  • @
    @azizhamed62013 years ago Mashallah dada wewe mzuri na umependeza kweli ulivyo vaa hijab yaani muislam kamil badil dini basi nikuowe. 1
  • @
    @yussuframadhan79553 years ago Ilike barbra the way of talk and answer question she confident keep it up. 3
  • @
    @annasamo70633 years ago Maswali yako ni ya kisomi wote nawaelewa kila la heri simba.
  • @
    @mzaha3 years ago Eti kuna wahuni wanasema babra sio mtu wa mpira watuache kidogo. 1
  • @
    @petermaeja5023 years ago Mtangazaji umeshindwa kuuteka wigo wote wa madam, she is so smart nahisi ungeandaa maswal mazur zaidi angetoa elimu nzuri sana. 5
  • @
    @mussamussa9523 years ago Wewe dada unapendeza sana ukiwa umevaa ushungi kuliko ukiwa wazi. Utanisamehe bure binafsi nakuona mpya sana na nakupenda kwa ajili ya allah unapokua umejistiri . ...Expand 2
  • @
    @AbdillahSOthman3 years ago Mwanamke ni stara, lau wangejua kuwa uzuri wa mwanamke ni kujifunika asionekane mwili wake na thamani yake ilivyo basi wanawake wangelikataa kujiachia na kuonekana na kila mtu.
  • @
    @saidsalum61013 years ago Barbra nimependa sana majibu yako dada yameenda shule siyo wakukurupuka hasa ulivyo malizia kwawatani upo vizuli sana mama. 3
  • @
    @mussamussa9523 years ago Wewe dada unapendeza sana ukiwa umevaa ushungi kuliko ukiwa wazi. Utanisamehe bure binafsi nakuona mpya sana na nakupenda kwa ajili ya allah unapokua umejistiri . ...Expand 2