Duration 7:40

CHARLES & SALOME

29 watched
0
0
Published 7 Sep 2022

Karibuni sana Ndungu Jamaa na marafiki tushiriki pamoja kwenye tukio la kihistoria, ili kuwapongeza Maharusi wetu Bw. Charles & Bi. Salome, ambapo Ndoa Takatifu imefungwa leo katika Kanisa la Segerea SDA, na Tafrija inafanyika katika Ukumbi wa Blessing Tabata Segerea, DAR ES SALAAM. KARIBUNI SANA, TUNAWAPENDA.

Category

Show more

Comments - 0