Duration 7:35

Samaki wa Kupaka ( Kiswahili)

185 706 watched
0
1.5 K
Published 11 Jan 2016

Mayarisho ya samaki: Bizari ya manjano kijiko 1 kidogo Pili pili ya unga kijiko 1 1/2 kidogo Tangawizi mbichi na kitunguu thom kijiko 1 kikubwa Chumvi kijiko 1 kidogo Mafuta ya kupikia kijiko 1 kikubwa Ndimu au limao kiasi Kwa mchuzi wa nazi: Tui la nazi aina 2 ( vikombe 4) Tui jepesi, tui zito Nyanya nzima 2 Nyanya ya kibati (paste) kijiko 1 kikubwa Kitunguu 1/2 Thom na tangawizi mbichi ya kusanga kijiko 1 kikubwa Majani ya kotmiri kiasi Pili pili mbichi kama utapenda Tui la nazi jepesi vikombe 2 Tui la nazi zito vikombe 2

Category

Show more

Comments - 198