Duration 2:4

Utafiti wa TIFA wabaini wakenya wamelemewa na gharama ya maisha

1 774 watched
0
15
Published 27 Jul 2021

Utafiti wa TIFA wabaini wakenya wamelemewa na gharama ya maisha Wakenya wanalalamikia mfumko wa bei na ukosefu wa ajira Janga la COVID-19 limetajwa kuchangia pakubwa ugumu wa maisha Rais Kenyatta asifiwa kwa miradi ya miundomsingi na elimu Rais amekosolewa kwa ongezeko la deni la kitaifa

Category

Show more

Comments - 3