Duration 5:33

WANA SWAHIBU NI HATARI SANA | DAKTARI NIPE DAWA KAMA KUNA MGANGA WA KUTIBU MARADHI HAYA NAUMWA

513 298 watched
0
857
Published 7 Sep 2020

Dont Forget To Subscribe This Channel ......... Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida Contacts : +255626966000 | zanzibarqaswida@gmail.com Zanzibar Qaswida Booking Info : WhatsApp/Call : +255626966000 Email : zanzibarqaswida@gmail.com Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner) https://www.instagram.com/comextz/ https://www.facebook.com/comexstar https://twitter.com/ComexTz

Category

Show more

Comments - 126
  • @
    @firdhoushassan11363 years ago Marshall allah, may allah continue to guide you guys on the straight path. 1
  • @
    @shamimujumanne52674 years ago Uislamu sasahv sijui kwann hauna nguvu kama zamani, kwakweli dini yetu inaelekea pabaya m/mungu tunusuru na haya subhanallah. 18
  • @
    @halimarahay88512 years ago Manshaalah mungu akuzidishiye kaka zangu.
  • @
    @teacherney66514 years ago Hao arrijalu qawwaamuun subhanallah rudini kwa allah ndugu zangu. 3
  • @
    @saidkipaji62854 years ago Uyo alojishika kiuno kashakuwa saivi alikuwa akisoma muntakina hukuwa ivoo weww. 3
  • @
    @nooraallahuakibarumwenyeez30794 years ago Yani ukistaajabu ya musa utaona ya friaun jamani ulimi hauna mfupa nimecheka kwa vitukovyenu mapenzi ni uwendawazimu ila tujitahidini kumuogopa allah tusiutukanishe uwiislam wetu. 3
  • @
    @kadijajaseem51484 years ago Nimemunga mkono wiislam anaelekea pabaya mungu ayarudishe nyuma mwashangaza waislam wenzenu. 3
  • @
    @munamuna74883 years ago Mhhh kaswida mhhh walah atuepushe na ibilisi. 1
  • @
    @muniraomar37044 years ago Hapa mwisho dawa ni umpate umpendae ndiyo dawa yke hakuna daktari wala mganga hapo. 3
  • @
    @saidseleman60043 years ago Kwahiyo siku hzi tarabu imekuwa ruksa ktk dini. 2
  • @
    @zulfatdidas3694 years ago Allah awaongoze kwakwel co kwa mixer hyo. 4
  • @
    @nasmamaulidy5012 years ago Mashaallah allah awape umri mrefu muendelee hivohivo ndugu zangu.
  • @
    @idrisabakar88623 years ago Tafuteni kazi wana ume wazima mna kata viuno je hao ndgu zenu wafanye nn duu hatar sna. 3
  • @
    @trackingboss7109last year Please let us a little more information about your company lucas and senzo is saying they closed the.
  • @
    @mudathirylove32804 years ago Mbn hawasemi kweny mziki wa bongo fleva wanaona hapo2 wanafki hao, wanaswahibu mpo vzr sana mashallah tupe dawa. 2
  • @
    @mohamedmussa52002 years ago Hii kazi ya shetani aliyevaa vazi la uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika . ...Expand
  • @
    @yurathawamb1294 years ago Haya hayapo ktk uislam ni matamanio yetu tu tamaa za kunipenda dunia zimetushika allah atunusuru na mengineyo. 6
  • @
    @rashidilimboa75343 years ago Nimepnda kazi zenu ndgu zangu nazipataje cd nawapi zinapatikana.
  • @
    @noelariki36184 years ago Mnauharibu uislam, wanaume mnacheza hivyo pia mnachangamana na wanawake kweli ndo uislam gani huo. 7
  • @
    @ahmadabdalla6194 years ago Subhanallh hakuna hishma ya kanzu hapo. 2
  • @
    @rashidhaji83253 years ago Haina utofauti na tarabu na bongofleva.
  • @
    @mudathirylove32804 years ago Watu wanawivu wa maendeleo2 wanaswahibu mpo vzr hao wanaoponda wanajifanya wanajua sana dini. 2
  • @
    @munamuna74883 years ago Vigodoro vya akili kwa akili mtihani mmhhh wanaume ndani ya mauno mhhh mtihani yrabi tuepushe. 2
  • @
    @nooraallahuakibarumwenyeez30794 years ago Dawa ya mahaba nikumpata mahabubi hhh. 1
  • @
    @princessafrash87574 years ago Sijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke . ...Expand 4
  • @
    @keyhassan20504 years ago Nimoto wa kuakiaa
    burdani kwakweli
    cheka pekeangu
    hongereni kwa kazi nzurii.
    1
  • @
    @mohamedmussa52002 years ago Waislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! . ...Expand
  • @
    @tamemahmad99024 years ago Hii qasda au nyimbo jamani maulid tunayaharibu. 4
  • @
    @safiambaroukkhamis4394 years ago Mupo pemba au unguja jamani naomba mimi.
  • @
    @sleyumomar36373 years ago Mnapatikana wapi, unguja au pemba, naomba mnijibu.
  • @
    @yasirfakih33654 years ago Asant kikongoz wangu abuu wewe fund by honest. 1
  • @
    @saidbinbakar97254 years ago Wana swahibu kitu kimoja niwashauri. Mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina . ...Expand
  • @
    @mohamedmussa52002 years ago Hii kazi ya shetani aliyevaa vazi la uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika . ...Expand
  • @
    @princessafrash87574 years ago Sijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke . ...Expand 4
  • @
    @mohamedmussa52002 years ago Waislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! . ...Expand
  • @
    @saidbinbakar97254 years ago Wana swahibu kitu kimoja niwashauri. Mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina . ...Expand