@happynelson11363 years agoMama happy alichelewa sana kupima na kuchelewa kutumia dawa ndiyo maana watu wanashauriwa kupima afya zao mapema. 10
@
@rabrab80733 years agoMungu baba najileta kwa ajili ya mamahuyu mama happy mungu wangu nakuomba kwa unyenyekevu sana ukamguse huyu mama kuanzia utosini hadi nyayo za miguuni. ...Expand12
@
@umma66543 years agoDawa za mama happy zina nguvu sanaa. Anafaa apate lishe bora ndio atatulia. 5
@
@marthatv93353 years agoDawa ya mma happy tunayo nainaweza msaidia sana.
@
@ashuradaudi90133 years agoJaman aende na kwenye maomb sikuizi watu wanalogea magonjwa aende uku anatumia dawazake. 7
@
@frolalupogompumbavuwewesiw1793 years agoMmmh ni muda cna mrefu cna yupo kotandani au kuna kitu kingine kwani kama dawa anakunywa dawa mbona bado cna n mungu aonyeshe ugonjwa anaoumwa na kujua dawa anazofaa kutumia amina. 4
@
@qwqw16653 years agoMungu atakusaidia utapina kinachotakiwa ni dua tuu. 1
@
@rukiauledi38123 years agoPole sana mama happy mwenyezi mungu atakuafu. 4
@
@ukhutfatumah11543 years agoMama allah atazidi kukupigania inshallah utasimama tu. 2
@
@rehemshehoz87043 years agoMngembadilishia daw jmn huend hazifai hiz n pia angeend hospitl. 2
@
@hassanmpemba57473 years agoPole sana mama happy mungu atakujalia utasimama ipo siku. 1
@
@fariarizaq75283 years agoPole mum happy mungu akupe shifah inshaallah tunakuwombea sana. 1
@
@janemuthoni7233 years agoHalafu mimi niko kenya lkn naishi ngambo, nauliza kama mama heppy atakubali mimi nije tz nijiandikishe kwenye vituo vyenu vya police nimchukue ako kavulanasana.
@
@saudahassan66673 years agoJmn mama happy poole sana mungu atakuponya inshaallah. 2
@
@salimanasri39803 years agoMaman happy tunakuombeya kwa allah ukupe shiffa. 1
@
@mauwarashid48233 years agoMungu akuzishie nawapa_nguo_na vitu_vote. 2
@
@shamzone3883 years agoMama happy allah atakusimamia zaid upate nafuu uwe na wewe na furaha kama wengine. 1
@
@jenifaranthony8693 years agoNaombeni uyo mama aludishe ospitar kiukweli tunaomba zahiri apelekwe hospitali ili wakampime upya.
@
@azizaabeid20553 years agoMama happy bora arud hospitaldawa pengine haziendani na damu yake na wampe vidonge vya damu pia mana anaonekana hana damu mana dawa zingekuwa zina mfaa angekaa sawa mana kaanza kutumia kitambo mtihani mungu atakupa shifaa. ...Expand2
@
@janemuthoni7233 years agoZahir ako wapi au ashachukuliwa ndani na flora.
@
@jenifaranthony8693 years agoTujue tatizo kama niilo tatizo mlilo lisema niwengi wameinuka.
@
@janemuthoni7233 years agoHii ugonjwa yake yanishangaza mbona yeye ako chini mda mrefu na alishaanza kutumia dawaau ako na maradhi ingine iko kwa mifupa. 1
@
@janemuthoni7233 years agoZahir ako wapi au achakuliwa ndani na flora?
@
@aminaramdan32833 years agoMama happy. Anatakiwa vidonge vya maginizim, zink, na casiyum, apate dawa hizi ama mwambie atumie mlonge majan yake wayapuruwe kisha waanike ndani yakikauka. ...Expand5
@
@aishachambo86633 years agoUyu mama jamani anakunywa dawa kweli au mm nishawaona wagonjwa kama yy wakianza kutumia dawa tu wananyanyuka. 4
@
@valenakomba44533 years agoNyinyi msimfanye huyo kama show. Mpelekeni akaombewe apone. Kama kweli nataka apone.
@
@catherinemlaponi78323 years agoMbona kama bado hapati nafuu mama happy, dawa anatumia vizuri kweli? halafu wasaidiwe mtaji wa biashara, hela ya kupewa na kutumika muda huo haitoshi jamani. Happy biashara ya mkaa aliacha? 4
@
@kiri58073 years agoHuyu ana ukosefu wa vitamins ndio maana anapata maumivu ya mifupa. Huyo dadaake happy atazaa naye mwengine karibu. 3
@
@rabrab80733 years agoMungu baba najileta kwa ajili ya mamahuyu mama happy mungu wangu nakuomba kwa unyenyekevu sana ukamguse huyu mama kuanzia utosini hadi nyayo za miguuni. ...Expand12
@
@azizaabeid20553 years agoMama happy bora arud hospitaldawa pengine haziendani na damu yake na wampe vidonge vya damu pia mana anaonekana hana damu mana dawa zingekuwa zina mfaa angekaa sawa mana kaanza kutumia kitambo mtihani mungu atakupa shifaa. ...Expand2
@
@aminaramdan32833 years agoMama happy. Anatakiwa vidonge vya maginizim, zink, na casiyum, apate dawa hizi ama mwambie atumie mlonge majan yake wayapuruwe kisha waanike ndani yakikauka. ...Expand5
Related videos for MREJESHO | MAMA HAPPY ALETEWA NGUO | HALI YANGU BADO MBAYA:
halafu wasaidiwe mtaji wa biashara, hela ya kupewa na kutumika muda huo haitoshi jamani. Happy biashara ya mkaa aliacha? 4