Duration 5:45

HUYU HAPA MRITHI WA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD ZANZIBAR

64 584 watched
0
171
Published 22 Feb 2021

Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kitaanza mchakato wa kumpata mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad (77), kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar, Alhamisi tarehe 25 Februari 2021. Wanaopewa nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, ni Masour Yusuf Himid, Othman Masoud Othman na Juma Duni Haji, maarufu kama ‘Babu Duni.’ 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 121