@eliajimmy953 years agoIn the past i used to see you as a person who was favored by the rulers but very assertive. 16
@
@husseinmostafa2563 years agoUmeeleweka sana, ni kweli wewe ni mtumishi wa mungu, hii nchi ni ya watu wachache mzee, sisi wengine wapangaji hatuna haki kwenye hii nchi. 48
@
@eatlawe2 years agoGerman pastor martin niemller said of the nazis, first they came for the socialists, and i did not speak outbecause i was not a socialist. Then they id="hidden1" came for the trade unionists, and i did not speak outbecause i was not a trade unionist. Then they came for the jews, and i did not speak outbecause i was not a jew. Then they came for meand there was no one left to speak for me. ...Expand1
@
@linuskyando41552 years agoAhsante mchungaji, nje ya tanzania tutatafsiriwa vibaya.
@
@zachariamalley70763 years agoNilifikiri kama mtumishi wa mungu ungefanya ibada ya kuomba mh. Mbowe atendewe haki. Ni mungu tu anajua na kuona kilicho mawazoni, akilini, midomoni na. ...Expand11
@
@magellasaid36933 years agoBinafsi huchukizwa sn na siasa za jazba ambazo cdm ni km utamaduni wao na aina hii ya mtindo lengo huwa ni kuigombanisha dola na watu wke ili wahusika. ...Expand27
@
@gasparmhapa13293 years agoAhsante baba kwa ujumbe mzuri. Hakika hiyo ni sauti ya mungu. Mwenyezi mungu wa mbinguni akutunze. 11
@
@alphoncekagezi49503 years ago1. Ikiwa mh mbowe ni gaidi na moyo ya washitaki wake inawashuhudia kuwa shitaka hilo sio la kubumba! Basi mahakama ikimtia hatiani anyongwe hadi kufa! 2. Kama mh mbowe sio gaidi baali ametengenezewa kesi na washitaki wake kwa nia ya kudhoofisha kisiasa watakuwa wamefanya kosa kubwa mno na mkilazimisha kupa adhabu kuepuka mashaka yaliyo tanda ktk moyo ya watanzania basi nini kitafuata kumtia hatiani asie na hatia! Washitaki wake mh mbowe sio chepesi kuiepuka ghadhabu ya mungu. ...Expand11
@
@geofreyjonas54033 years agoAhsante mtumishi wambowe, ccm tunajichafua. 15
@
@deborahmgedzi73832 years agoMungu mwenyezi akubariki sana mtumishi wake. Amina.
@
@khatibumpare68653 years agoKama kweli hili lisemwalo kuwa mbowe ni gaidi basi mungu simama upande wao lakini kama ni hujma basi mungu simama na mbowe. 23
@
@petermwanyondo53702 years agoUmeongea vizuri xna mzee mungu akubaliki.
@
@coolsinare88243 years agoUsiseme hudhani wanaweza kumpa kesi kubwa hivi kwa kusingizia huku ukijuwa wanaweza kusingizia kwa sbb wamewahikama mungu aishivyo roho zote za viburi vitashushwa mpaka sifuri ili ajulikane mungu yu hai kwenye taifa hili in the might name of jesus. ...Expand7
@
@titusmoses73 years agoKwa hili mzee wa upako nakupa heshima yako. Hakika umefanya kazi yako ya kichungaji. 8
@
@amosmwanisawa28873 years ago" mwenye masikio na asikie, roho ayaambia mungu wa rehema utuhurumiewa bwana uingilie na uhukumu suala la mbowe! mungu mbariki mtumishi wako mzee wa upako! 4
@
@erickjohn92823 years agoMtumishi uwe mfano ata kwawale wa2mishi ambao wanajua ukweri lakin wako kimya, mungu akulinde. 12
@
@emmanuelelam5553 years agoMungu hajawahi kumficha mnafiki naimani mungu ataweka wazi nigaidi au sio gaidi inauma kwafamilia pamoja nawafuas wake. 4
@
@florenciamanji82363 years agoSema babayan hii nchi mungu afanye kitu tu! 4
@
@athumaniyuba9353 years agoUmesema sawa. Mwenye akili ameelewa, kuwa umesema mbowe siyo gaidi. Ni uonevu tu. 19
@
@patrickwatson84323 years agoMh kwakweli nimeshindwa cha kuongea baba munvu akubariki sana tena sana neema ya bwana wetu yetu kristo ikuzukie na nulu ikuangazie mahara penye giza sina cha kusema zaidi ya ahsante uwe na maisha malefu ameen. 2
@
@hasaniyusufu11713 years agoMzee hakika mungu akulinde umeongea point mzee hakika mungu atalipa. 2
@
@stevenmlangai47983 years agoBaba wa upako asante sana kwa hekima na kwa ushauri wako wa busara sana unaoutoa kuhusu nchi yetu. 1
@
@josephmsengi7623 years agoMzee wa upako hapa umenena mimi naomba roho mungu awe juu yako akupe roho ya hekima na ushauri piga kazi. 3
@
@keffasleo70673 years agoBaba mtumishi wa mungu umeeleweka vema, kama kweli kabisa mbowe ni gaidi basi mungu mwenyewe atajibu. Vinginevyo kamaheri wakatubu mapema wote wanaohusika kabla jua halijachowea. 1
@
@cairoshampeny27439 months agoMzee umeongea kitumishi sana mungu akubariki.
@
@benjaminnestory66003 years agoAsante sana mzee wa upako mimi binafsi nimekuelewa.
@
@lazackbrown16453 years agoMungu wa mbinguni wewe ni hakimu wa haki. Usiache hili lipite nakusihi bwana wa majeshi ingilia kati kwa hili la mbowe. Nchi imeumizwa wananchi wana majeraha mazito. 18
@
@jerryjonas74273 years agoPia watumishi wengine wangejitokeza kukemea hii dhuluma, haipendezi hata kwa mungu. 9
@
@ezekielraphael59983 years agoKama mungu aishivyo atatoa jibu na atalipiza kisasi kwa wote wenye dhuluma n kiburi cha uzima cha kuwatesa binadamu wenzao kwa vyeo walivyopewa km dhaman. Amen.
@
@rosekimario49763 years agoWalevi uwa tunaongea point tena sana big up muhuni mwenzangu.
@
@pastorhenrymashiku41782 years agoMzee kuna sehemu ukitulia ktk hekima zako: huwa unakuwa bora sana. Hii imekaa sawa sana.
@
@ibrahimmlisy57863 years agoNashangaa kuona viongozi wengine wa dini kulinyamazia hili jambo, kiuhalisia huu ni moto wa pumba ambao unawaka chini kwa chini, cku ukilipuka hakuna anaebaki,. ...Expand31
@
@mshindimshindi91203 years agoYou' re talking the truth. Mbowe is not a terrorist. 8
@
@msafirimatingo44473 years agoMungu akubark sn umesema ukweli mtupu. Weng hawalion hilo kuwa ni tatizo kubwa. 1
@
@rameckgototv43973 years agoDah mzee umeongea mpaka machozi yananitoka. 7
@
@jerryjonas74273 years agoNi vizuri apelekwe mahakama za kimataifa hapo haki itapatikana. 1
@
@festoasanga55723 years agoKila unacho kiongea ni point mh daaa ilove you so much. 2
@
@omariramadhan48133 years agoMimi mwenyewe ni mwana ccm, najiuliza sana. Kama kwel ni gaid afungwe, ila kama si gaidi itatuchafulia sifa kubwa ya nchi yetu kujivunia tanzania yetu tanzania yetu itakuwa na doa. 9
@
@aminatanzanya74753 years agoWenye akili tumekuelew sana mtumishi wa mungu hakika malip ni hap. 4
@
@michaeldotto38593 years agoMungu akubariki sana mtumishi wa mungu.
@
@bornkilla61732 years agoMungu akutunze sana mtumishi wa mungu.
@
@gangmore90913 years agoTanzania nchi y wahuni watu wapo wengi jela kwa kubambikizwa kesi zanzibar kila uchaguzi watu wanauliwa kubakwa kutiwa ulemavu tanzania nchi y wahuni watu wanapigwa risasi na watu wasojulikana. 12
@
@suzypaul45593 years agoHuyo mama kavirugwa tatizo anaburuzwa kama frush.
@
@innocentmtashobya12572 years ago" kiburi cha nn? " mpaka nimetokwa na machozi, ni sauti ya mungu hakika. Wenye kuckia na wasikie sauti mungu ayaambia makanisa.
@
@abdurahfaris84382 years agoNimehuzunika sana kusema kwel mzee wa upako mungu akulinde umenifanya niwe na mood mbaya baada ya kusema haya kwann sijui nimeitazama hii video.
@
@mubarakanyamihasi8812 years agoMzee unaakili nyingi maneno yako kwa mtu mwenye hofu ya mungu ni tiba tosha.
@
@hekimaandindilile40003 years agoYani apo anamwambia rahisi ache kiburi cha kutumia jeshii hahahaha unakili sana mze anaacha kushugulikia mifumuko ya bei anawai ugaidi. 1
@
@ahadiandongwisye60413 years agoMungu akubariki umesimama katika zamu yako.
@
@marykibwana94133 years agoMzee wa upako nigawie hekima na busara, hii kama mfalme suleiman wa kwenyerahisi kukuona ungenipunguzia hekima mungu akubariki. 2
@
@ynyynyyny3 years agoUmeongea vyema, miaka 60 umeona mengi, kifo kipo, amua leo.
@
@doktabalakakabaka97423 years agoMungu wewe ndiye hakimu wa haki mtetee mbowe.
@
@samuelngogo55723 years agoKheri umeongea mzee wa upako barikiwa sana. 4
@
@husnamanase39433 years agoMalipo nihapa hapa mbinguni mahesambu mungu ibaliki tanzania tunako elekea mungu ndoanajua tusipo kua makini 25 sijui mungu atubaliki amin.
@
@patrickwatson84323 years agoKilicho mtesa yusuph mpaka kuuzwa utumwani na hata mungu akamuinua kuwa wazili nikuongea ukweli daima ukweli unamuwwka mtu kuwa hulu tena hulu kweli ogopa kifia dhambini bola kufia ukweli ahsante. 6
@
@jeconiajosia19993 years agoMungu ndiye mhukumu wa haki na kila moja atasimama mbele ya mungu kujibukumbuka kila anayefanya uovu kengele ya moyo wako inasemajeza ndani kabisa! 5
@
@ibrahimisaack44003 years agoAkili kubwa sana umetumia mzee nimekuelewa.
@
@christophermika69683 years agoUmeongea kwa kiwango, mungu akupe neema daima. 5
@
@marumbamgeni47963 years agoKwa kila mwenye moyo wa nyama inaumiza saana. 1
@
@rowlandmasawe82513 years agoKipimo kile tunachowapimia wengine tutapimiwa vizuri kabisa asiyetenda haki apo kati ya alowekwa na anayeweka atalipwa akikoswa yeye hata kizazi chake time tells always.
@
@akhitalibsheha24343 years agoHapa ndo utajua ukristo na viongozi wake wana nguvu tz na nasema hili si sababu ya udini laa. Kumbukeni viongozi wa kiislamu wamekaa miaka takribani nane. ...Expand8
@
@tusekilefransi98993 years agoNinachokiamni mbowe angekua gaidi kipindi cha magufuri angekua jera mda mrefu niwakati unapita acha mungu ajitwarie utukufu.
@
@vicentrogers94653 years agoMtumishi unacho ongea uko sawa ila mbowe kichwa ngumu yote hayo keshambiwa lkn hakusikia.
@
@danikilawe74983 years agoMungu atashughulika na wote wenye viburi na wenye kupora haki za wengine, duniani tunapita tu mwisho wetu ni udongo kwa udongo, uongozi ni dhamans tu ipo siku utatoa hesabu ya yote. 4
@
@priscambwambo10303 years agoBig up mzee wa upako. Ulitenda nini duniani?
Related videos for Acha Kiburi wewe Hata magufuli alikufa, Mbowe siyo Gaidi Mimi Siwezi Kuamini, Kesi zinatengenezwa:
mungu wa rehema utuhurumiewa bwana uingilie na uhukumu suala la mbowe!
mungu mbariki mtumishi wako mzee wa upako! 4
malip ni hap. 4
asiyetenda haki apo kati ya alowekwa na anayeweka atalipwa akikoswa yeye hata kizazi chake
time tells always.