Duration 9:21

RC wa Pwani ajipanga kumuapisha Mhe Jokate: Ampa kazi 3 muhimu

8 423 watched
0
42
Published 31 Jul 2018

MKUU wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo amesema Mhe Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe ni msichana mchapakazi ambaye ana matumaini atafanya kazi kubwa kwaajili ya kuwatumikia wananchi wa wilaya ya Kasarawe.

Category

Show more

Comments - 7