Duration 4:50

WATANZANIA TUNALO LA KUJIFUNZA AJALI YA MOTO MKOANI MOROGORO.

609 105 watched
0
1.2 K
Published 10 Aug 2019

WATANZANIA TUNALO LA KUJIFUNZA AJALI YA MOTO MKOANI MOROGORO. Kuna usemi unaosema kwamba “Historia ni mwalimu mzuri japo mara kadhaa wanadamu tumeshindwa kujifunza kutokana na historia tunazopitia kwenye maisha katika nyakati tofauti. Itoshe kusema kwamba hakuna jambo linalotokea kwenye maisha ya mwanadamu pasipo na sababu maalumu, Mambo hutokea maishani mwetu yakiwa yamebeba kusudi maalumu ikiwa ni kutufundisha, kutukumbusha, au hata kutuelimisha na hatimaye kuifanya dunia kuwa sehemu bora ya kuishi. Inahitaji utashi wa mwanadamu husika kuweza kung’amua na kuchukua hatua stahiki juu ya mambo mbalimbali yanayotokea au anayopitia mwanadamu kwenye maisha.,.Vinginevyo mtu hujikuta akikosa mambo mengi mazuri ambayo wakati mwingine huja kwa kusudi maalumu maishani. #fundisholaajali /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 164