Duration 8:51

MAAJABU: Dini ya Beyonce Yatikisa Dunia- BEYISM

171 891 watched
0
487
Published 26 May 2018

MAAJABU: Dini ya Beyonce Yatikisa Dunia- BEYISM MWAKA 1990 akiwa na umri wa miaka tisa, msanii wa Muziki wa R&B alijiunga kwa mara ya kwanza katika shule ya awali ya Parker Elementary huko Houston, Marekani. Akiwa shuleni hapo ambapo pia hufundisha muziki, Beyonce alikuwa mmoja wa waimba kwaya wazuri. Miaka minne mbele, Beyonce aliteuliwa kuwa kiongozi wa kwaya katika kanisa waliokuwa wakisali wazazi wake la St John’s United Methodist. Kuonesha kuwa muziki upo kwenye damu, katika kipindi hicho Beyonce alikutana na rafiki yake, LaTavia Roberson na kuamua kutengeneza kikundi cha wasichana cha kuimba na kucheza dansi kiitwacho Girl’s Tyme, hapo ndipo kukaibuka wasanii sita akiwemo Kelly Rowland. Bada ya kupitia matamasha mengi, Girl’s Tyme waliamua kubadili jina la kundi na kujiita Destiny’s Child ambapo walibakiwa na wasanii watatu ambao ni Beyoncé Knowles, Kelly Rowland na Michelle Williams. Ukiachilia mbali historia hiyo fupi ambayo baadaye kundi hilo lilikuja kugawanyika kila mmoja akifanya maisha yake. Kwa muda sasa Beyonce amefanikiwa kuiteka dunia katika burudani kupitia nyimbo zake, tangu alipoibuka na albamu yake ya kwanza ya Dangerously in Love (2003). Maisha yanakwenda kasi sana! Beyonce ambaye kwa sasa ni mama wa watoto watatu aliozaa na Rapa Shawn Carter ‘Jay Z’ amekumbuka alipotoka, alipokuwa akiishi maisha ya kiroho, alipokuwa akiimba kwaya hadi kuwa kiongozi. Amekuja kwa mgongo mwingine wa kuanzisha dini yake iitwayo Beyism. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 377
  • @
    @dorinadorina18466 years ago I love my god may almighty god forgive them amen. 3
  • @
    @aronijuma19136 years ago Mungu atabaki kuwa mungu
    hivo vinaitwa viburi vya uzima
    ukiwa na afya tele huwezi jua kama mungu yupo u can do anything as your heart desire wamepita wangapi kama yeye leo hii wako wapi? Wenye kashfa na dhihaka juu ya mungu wako wapi?
    wanataka kutupotosha tu kwa ajili ya benefiti zao za kidunia kwa kufanyishwa vitu ambavyo hata wao hawavitaki. Ila mungu atabaki kuwa mungu
    .
    ...Expand
    52
  • @
    @richardmiti20166 years ago Kama nawe umekwazika na hili, acha like yako hapa ili tuende sawa. 136
  • @
    @fathiasaed47386 years ago Mungu atuepushe tanzania yetu mungu aiongoze njia ya haki nchiyetu. 2
  • @
    @nancyclerah13406 years ago Yesu kristo ndiyemaisha yangu yote katu sitamwabudu mwanadamu. 1
  • @
    @amosichacha56756 years ago Shetani akitaka kuzifanya kazi zake huwatumia watu, halikadhalika mungu pia vivyohivyo. Waganga wa kienyeji, washirikina, mizimu, wasoma nyota nk. Hawa . ...Expand 14
  • @
    @rukiahassan99596 years ago Innalillahi waina illahiwenzangu tumuombe mola akitupa mali bc atupe zenye kheir na sisi. 54
  • @
    @jantawakitaa30506 years ago Dunia ina mambo hii, aandae majibu kwa allah (s. W)
    dunia inatupotosha sana na shetani ananguvu sana mungu tuepushie adhabu yako.
    57
  • @
    @winfridagodson65145 years ago Papa ni kiongozi tu msimamiz wa kanisa haabudiwi wala kusujudiwa na mtu ila beyonce anajiita ni mungu na wat wanaanguka kumsujudu. 2
  • @
    @rahmahussein40196 years ago Dah! Tutayaona mengi mwaka huu
    baada ya manabii wa uwongo. Sasa
    wanaanzawa
    uwongo na makanisa yao. Ama kweli
    pesa siya mwisho
    hii wallahi.
    ...Expand
    4
  • @
    @janetsimiyu73926 years ago Kwa kweli dunia imeisha wenye tunaamini mungu yuko naomba tumtafute kwa nguvu maana shetani ameinuka tena kwa kazi sana.
  • @
    @zoniloverosward21146 years ago Eeh mungu wangu nionyeshe njia salama na uniepushe na njia za dunia.
    mora wetu tusamehe,
    1
  • @
    @fatinetto6416 years ago Najuta kuzaliwa mklisto na namuomba mungu anijalie umaut usinikute nikiwa bado mklisto amina.
  • @
    @godwinayo51336 years ago Msifadhaike miyoyoni mwenu mnamwamini mungu niaminini na mimi (yesu kristo) 20
  • @
    @ellynassari90666 years ago Mungu tuongoze, ninakemea izo vitabu zisifike africa in jesus name na iyo dini, sijui wataenda kujibu nn siku ya mwisho.
  • @
    @awadhirajabu77546 years ago Nabii ajitengenezi nabii akija duniani kila mja atajua tu mana yatatokea mambo ya kushangaza awa wanaojiita manabii ni waongo ila wao wameisoma sana dini . ...Expand
  • @
    @enockyohana68566 years ago Nliwahi kusema. Beyonce ni lusifa alie jiziirish kwa mwili uwo. Jay-z nishetan kabsa. Jmn tumrudie mungu tumuomb sana' a. Yaan mtu anafikia hatua ya kujiita mungu dah. Tumefik pabaya. 6
  • @
    @user-vv1te9fu8q5 months ago Sasa na hao watoto waliowazaa wote watafata hilo dini lao sub, hanallah m, mungu tuepushe sisi na vizazi vyetu.
  • @
    @dullahdreams68226 years ago Dah namskuru sna allah kuniongoza katika uislam.
  • @
    @fatmakombo75844 years ago Subuhana allah mungu akituletea mitihani duniani tunasikitika huyu mungu mtu beyonc mungu atakuja kumtia mkononi ajute maisha yake yote.
  • @
    @haesang29495 years ago Ila haya yote ni matunda ya kanisa jinsi ilivyo wapoteza wengi katika umma. 2
  • @
    @fetymwamba86856 years ago Mh! Subhana llah mungu tusa mehe viumbe vyako wote sisi niwakosaji yarabi.
  • @
    @mussahamisi11916 years ago Innalillah wainnalillah rajiuni
    wallah kiburi hicho akiandalie majibu ya kutosha mbele ya allah.
  • @
    @baragatimaingu56236 years ago Ukiwa na pesa na ukaanzisha dini na kusema ww n mungu watakuamin, allah nipe mwisho mwema.
  • @
    @erneusngonyani92175 years ago Mungu njoo ubebe dunia yako binadamu wamekua watumishi wa shetani ikiwa wanaishi ndani ya dunia yako plz dr god come to take ur world. Tuone awa mashetani watu wataishia wapi rana awah.
  • @
    @sarahogama95404 years ago Kweli ndio nmeamini shetani hufata walio wa mungu ili awaaribu naushetani huu wa makanisani kwa jina la yesu.
  • @
    @catherinechristopher16726 years ago Mungu wetu mpole jamni atusamehe tuu dunia imeisha.
  • @
    @salimmwaim77896 years ago Laana ya m' mungu iwafikie wote wanaofuata din tofaut na ya m' mungu.
  • @
    @sylvestermhojaaron96594 years ago Wataruka sana, itabaki vilele kuwa yesu ni mungu na bwana wa mabwana, beyce na wanaomfuta jehanamu ya moto inawasubilia kwa hamu sana,
  • @
    @nancyclerah13406 years ago Mungu tuepushe na uovu wa nyakati hizi pamoja na uongo.
  • @
    @kadejahoe65436 years ago Subhannallah jamani dunia imeishaa dah tumuogopenii mungu.
  • @
    @veronicmagnus96625 years ago Mungu atusaidi kwan ni sku za mwisho na matukio ndo aya yariyotabiliwa.
  • @
    @nandyndayance56786 years ago Eeh mungu wangu jaman dah yesu alisema lakn sasa tumuombe sana mungu atusaidie maan hali inayoendelea dunian yanatisha.
  • @
    @user-vv1te9fu8q5 months ago Mfalme zumaridi wa marekani laana ya m, mungu imfikie ibilisi huyu afiriti minal, jinni.
  • @
    @agneskabira43886 years ago Mungu wangu come and save as kweli dunia ina mambo never i will never ever abudu mwanadamu kama mm. 3
  • @
    @mwaisa47696 years ago Namwamini mungu baba muumba wa mbingu na nchi baba wa yesu kristo.
  • @
    @fortunatasilipigni16326 years ago Karibu wasafi watafunguo kanisa lao pia. 1
  • @
    @nancyochieng47805 years ago Dunia imeisha na yesu yuaja hivi karibuni kwa hivyo tewe macho.
  • @
    @claraluoga35886 years ago Kweli mungu sio mwanadamu ningewafunika kwa ardhi dhambi zingine zinachefua.
  • @
    @jacquecharles92826 years ago Duh kwerna mungu, ngoja ufe utasimulia yatayokukuta.
  • @
    @abwemtambala22946 years ago Dunia imekwisha tuhombe mungu kwa bidii sana.
  • @
    @salimmohd82796 years ago Shetani ni waajabu sana anaingia ndani yaeanamke.
  • @
    @peterchristopher9586 years ago Unamdiss ila bado nyimbo zake unazipenda.
  • @
    @dorinekarimi68246 years ago Consuming fire awaits you beyonce, repeat!
  • @
    @ivanskaluta59246 years ago Mungu niyureyure atabaki kuwa yureyure ariye umba mbingu nanchi hawo wengine nimaibirisituu.
  • @
    @christinajeremiah64126 years ago Eeh mungu huturehemu maan tunapoelekea siko kabx.
  • @
    @jumaadena56576 years ago Pharaoh wa pilituendeko. Iyo freedom tuitakayoiman yko.
  • @
    @m.mmarckus62986 years ago Manabii wa uwongo wanazidisimama mwenyewe kutetea taifa letu.
  • @
    @johnsonfrodianus62376 years ago Watamkuta mungu mbiguni dawa yao anayo. 1
  • @
    @khamicwayne47405 years ago Laana tupu. Kufuru tele! Mtu kuzaliwa kma ww! Leo hi una muabudu! Dunia ime isha! Mungu atusaidie jamani!
  • @
    @aminabhaya15183 years ago Duh mwisho wa dunia umefika ila hawa wazungu wanatuletea majanga jmn ee mung waadhibu.
  • @
    @rjjfhglena21376 years ago Hapa ndo yesu ali sema. Then jesus said, father, forgive them, for they do not know what they do, " 1
  • @
    @neynath60366 years ago Yaliyotabiriwa kwenye vitabu vya dini yaanza kutimia mungu turehemu.
  • @
    @johnbernad15295 years ago Hilo ni pepo shetani yupo kazini lakini mungu atabaki kuwa mungu.
  • @
    @irenemkwizu96736 years ago Msimfananishe papa na beyonce nonsence. 11
  • @
    @livichakimbo53636 years ago Huyu dada anajua sana anachokifanya hataki kwenda peke yake motoni.
  • @
    @carolinamushi55556 years ago Ila beyece hilo sio kanisa ni sehemu takatifuwana wa mungu na kumuabudu na kumsifu mungu. Kama hapo panaotwa kanisa la beyece sio kanisa aseme tu ni sehemu yake ya starehe na kufanyia madhambi. 1
  • @
    @thobiasshingisha90336 years ago Mwisho wa dubai unakalibia mungu upo maori yote anayona.
  • @
    @salimaseleman35215 years ago Tunaangamia kwa kukosa maalifa utamuabudu vp bnadam mwenzk.