Duration 1400

JIFUNZE KUTUNZA PESA NA KIDOGO ULICHONACHO 21,900,000/= (Kua makini)

648 watched
0
6
Published 27 Nov 2021

Katika maisha Kuna kitu kinachokupotezea pesa zako zaidi, jifunze kubabiliana nacho. Kuna hivi vitu mapenzi na pesa au mapenzi ni pesa, starehe na mahusiano maabaya ya kimapenzi humaliza pesa zako. Jifunze Namna ya kutunza pesa zako. Jifunze kutunza kidogo ulichonacho #Quotes24life #mapenzinapesa #mapenzinipesa #starehe #mahusiano #Pesa #Maishanapesa #Tunzapesa #Kutunzapesa

Category

Show more

Comments - 0