Duration 3:15

News : Kurutu amzaba polisi kofi

1 068 283 watched
0
2.2 K
Published 23 Nov 2012

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Zoezi la usajili wa makurutu ambao wanakusudia kujiunga na kikosi cha polisi mjini Nakuru liligeuka na kuwa vioja , baada ya mmoja wa vijana aliyeshiriki zoezi hilo kuwageukia maafisa wa polisi na kuwachapa . Haikubainika kwa nini kijana huyo kwa jina Joseph Gikonyo , aliamua kuwageukia polisi . Hata hivyo safari ya Gikonyo kutafuata nafasi katika idara ya polisi ilikomea hapo kwani alitiwa nguvuni na polisi

Category

Show more

Comments - 182