Duration 9:53

KIPOFU ABAKWA NA KUPATA UJAUZITO | ALIINGIA ASUBUH WAZAZI HAWAPO AKANIBAKA

18 356 watched
0
134
Published 13 Aug 2020

#MaximumTv #SadMoment

Category

Show more

Comments - 112
  • @
    @goodgood93704 years ago Walifanya makosa kumtoa hiyo mimba wangemuacha huenda huyo mtoto alikua msada mkubwa kwa maisha yake. 34
  • @
    @coletashirima21934 years ago Namwappriciate sana uyu kaka wa maxmum. Anafuatiliaga habar nying za watu kwakwel maana watu wanaeza kupata msaada lkn pia ata wengine inawasaidia kimawazo kwakwel dah. 11
  • @
    @aishanatamaniningekuepoktk50624 years ago Mbona watu hawana imani hv allah amfanyie wepesi lkn kasha muachia mtihani mama kashazeeka nahuyo nae nimlemavu subhanallah inauma sana. 7
  • @
    @minjaminjaukovizurdogo51874 years ago Huyo mtto ndiye angekua msaada wa baadae maskini daa! Pole sana dda ndo ushapoteza hivyo nguzo yako ya baadae, mungu akusimamie rafiki. 3
  • @
    @mariamm27244 years ago Duh nikosa kubwa sana walivoitoa iyo mimba, pengin huyo mtoto angemsaidia mamaake. 5
  • @
    @hawakiza60674 years ago Subhaanallaah mmetoa kiumbe kingekuja kuwa saidia, dhambi kubwa kuuwa kiumbe sichichokua na hatia. 3
  • @
    @lailatiymohammed84754 years ago Jamani binaadamu imani imepotea allah atustiri allah atamlipia duniani atamfedhehesha in shaa allah. 7
  • @
    @katibatanzania30894 years ago Mmm pole sana mdogo wangu mungu atajuwa jinsi gani ya kupata misada.
  • @
    @muniraally25293 years ago Subhanna llah jamani watu hawana imani jmni kumbaka kipofu kma huyu.
  • @
    @khadijahali48374 years ago Mh jaman watu mbn tunakosa utu khaa mungu amlaani hy mkaka hk alipo mtu anahitaji msaada yy anamkandamiza. 2
  • @
    @hebronsdaughter16614 years ago Jamani watu wawe na huruma, mbona umfanyie mwenzio hivyo mungu atawahukumu wafanyao unyama kama huu. 3
  • @
    @hijjahbintmardhya66134 years ago Inalillah wainah illah rajihun. Mwenyezi mungu atunusuru na adhabu zake. 5
  • @
    @sssaminasaidaaamashaalah32914 years ago Watu tulokosa huruma jmn duh inasikitisha sanaa pole sanaa kwa uwezo wake allah unaona. 1
  • @
    @coletashirima21934 years ago Mungu atusaidie tu kuna watu hawana huruma. 2
  • @
    @user-cr9mf7dg4k4 years ago Jaman binaadam sijui tukoje tumekosa huruma. 1
  • @
    @africanheroestz-acapella24584 years ago Tuwe na hofu na mungu hii inaumiza sana, nikosa kubwa kutumia udhaifu wa mtu kwa kujinufaisha wewe, very bad! 3
  • @
    @safiyatheonlything78484 years ago Yani huyo kaka mungu ata muhukumu lnshallha.
  • @
    @beatriceamber45324 years ago Mungu wang wanaume cjui wakoje awaeleweki at a uruma jamani. 2
  • @
    @zainabukivale58244 years ago Mungu anamakusudi yake jamani uyo alie mbaka na kumpa ujauzito labda ingekuwa nimsaada wa uyo dada sasa awo walie mtoa mungu anawaona.
  • @
    @safiaothman10984 years ago Inna lillahi wainna ilayhi raji' uun.
    mwenyezi mungu awalaani walimfanyia kitendo hicho, aamiin.
    6
  • @
    @muaminhakizimana16714 years ago Wangemuwaca aka zaa huwenda mtoto angemsaidiya. 6
  • @
    @mariamfaki11664 years ago Dah pole sana sasa kavaa nguo kama mnyonya damu umemuonaje mdogo wangu. 1
  • @
    @michaelkigaraba57844 years ago Binafsi nmeumia sana binadamu wanyama sana. 1
  • @
    @marymfugwa8474 years ago Kama wamemtoa walifanya kosa huyo mtoto kama angezaliwa huwezi jua labda ndo angekuwa msaada badae. 1
  • @
    @ibrahimrukundo30644 years ago Mwenyezimung awafariji nivyema tuasaidie. 1
  • @
    @zaitunijuma78314 years ago Humu dunian kuna badhi ya wanaume wame kuwa makatili hiv jaman kweli umbake kipofu bad ya hp nifaid gan unapat fikiria km una dd ako ana matatizo km hay . ...Expand
  • @
    @rukiamwakinyo53244 years ago Kwa hali hii tetemeko na corona unafikil itaisha subhanallah. 2
  • @
    @mrsochu-hv7bm4 years ago Kwaninimimba jaman asaiv. Mtoto angekua mkubwa anamtuma maji. Maana mi mwanangu asaivya kunjwa. Kopo la chumvi. Ni Miaka miwili kwa mtoto ni mingi sana kama mtoto atakua hana maradh. ...Expand 1
  • @
    @habibakhalfan10654 years ago Mmekosea_msinge_itoa_hiyo_mimba_allah_angempa_mwanae_wa_kunsaidia. 5
  • @
    @aishachambo32934 years ago Kwann wameitoa mimba jamani mtoto hana ubaya jaman.
  • @
    @surayakhan39554 years ago Wewe kaka unanifurahisha yani unafatilia habari zinazotokea kwenye jamii safi sana sio kama wengine wanaweka udaku tuu ilimradi wapate views youtube. 1
  • @
    @vero574 years ago Kwakeli, kuna vitu vingine havifai hata kusema kha, sasa wewe mwanaume uliye faya hivyoi unaona raha gani apo ulipo? 3
  • @
    @zulfamohamed45494 years ago Kuna bahaz ya wanaume afazar shetwan rahan tullah yan mtu unamuona yupo kwenye wakat mugumu bad wampa tena wakat mgumu kwan kama zinaa kwako fahar siuwende . ...Expand 2
  • @
    @anthonymaganga66084 years ago Wasinge mtoa hyo mimba bora angezaa mwanae wenda badae angekuwa faraja maskin.
  • @
    @aisatahaisatah26124 years ago Apo kaka yang umenichekesha eti alikua anakwambiaaje ila wallahi inauzunisha yani mtu hana huruma haoni atahali ya anae fanyia ichokitendo. 1
  • @
    @nasranassor67964 years ago Kila cku zinaposonga ndivyo laana zinapozidi subhanallah. 1
  • @
    @vero574 years ago Hii ni kama yule dada wa buguruni, na sasa yule baba aliye mbaka yuko uru eti, magufuli tunaomba tusaidie baba. 2
  • @
    @husnahassan62894 years ago Jamani sie binaadamu tuna roho gani makahaba wote mtu hajawaona kwenda kumzurumu mdada wa watu kumfanyia kitendo cha kinyama kama hivi mungu atakulipa hapahapa duniani ameen. 3
  • @
    @ntibaali38654 years ago Hiyi kesi na muomba rais magufuri akate hiyi kesi. 1
  • @
    @dullamburu17184 years ago Viumbe wazito binaadamu wabaya sana sisi mlemavu una mzulumu kama hivyo unambaka hayo masonzo yapo tele buguruni pesa yako tu wafate hao na sio walemavu. 1
  • @
    @wardamunguakuzidishew93992 years ago Wajinga sana awa watu mtu mwenyewe kipofu ndio uyo alie mbaka kafanya vibaya lakini pia ni vizuri maana angejipatia mtoto wake.
  • @
    @lucylucy73074 years ago Inauma san tu ila huyo jamaa amefny kosa l kump mimb hali waliyonay mby toka enzi zaoo n hiy family inamtihan kwel watot 6 wamebk wawili 2 tu kwel inauma . ...Expand
  • @
    @lizzydiy45904 years ago Ila wanaume wananyege mbayaa yani ukisikia nyege za kiswahili ndio hizii. 4