Duration 6:4

KICHEKO MSIBANI: Angalia Masanja Mkandamizaji alivyowachekesha watu siku ya mazishi

1 180 919 watched
0
2.5 K
Published 27 Jan 2018

Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

Category

Show more

Comments - 166
  • @
    @nyash25426 years ago Good speech for the family n community i like the intermix this guy is brilliant. When it' s sad time we need people to comfort us at the same time educate us not to provoke god. God bless you masanja. 4
  • @
    @user-ng6yt2od7l4 years ago Masanja oyee from lebanon nawakilisha. 1
  • @
    @hekimasandet53323 years ago Nawatangazia ulimwengu kwamba yesu kristo atarudi kuchukuwa watakatifu wake okokokeni tubuni haraka walioanguka rudini kwa yesu inukeni tutembee. 3
  • @
    @seiftaji44164 years ago Polepole na kamati yako mupo vizuri sana saluti kwenu maana musiba hafai kua kiongozi pamoja na lugola alikua waziri wa mambo ya ndani akathani dunia ameibeba kwenye mgongo wake kumbe mambo ya mpito too.
  • @
    @paschalnkwabi69385 years ago Ni vizuri kwa kuwa kilio hakitakiwi kwa watakatifu.
  • @
    @benigneirakoze99066 years ago Jameni mbavu zangu nakupenda bule masanja. 1
  • @
    @bonabonala76856 years ago Masanja nirikua nakipinga sana ira leo nimekukubali wenimtumishi wa mungu nisamehe kwa kukupinga ameni ubarikiwe imanueli mgaya nakuoenda sana kama unavyojikubali mwenyewe aleluya!
  • @
    @nderindichu87546 years ago Safi sana mazishi ya watakatifu haina kilio twajua mwezetu ametangulia tu nyuma nasi.
    kenya hapa nawakilisha.
    12
  • @
    @amoslumoka60656 years ago Nampenda sana rais wetu jonh pombe magufuri kwa kazi nzuri anayomachozi kwa mambo yote tuliyo yapata kipindi cha nyuma, naomba watanzania wote tuzidi kumwombea uzima mungu azidi kumwongoza katika kazi yake nzuri anayo ifanya, amina. ...Expand
  • @
    @georgemwambona98906 years ago Amen mungu ni mwema hatuna bundi kumrudishia yeye sifa na utukufu.
  • @
    @lukashally65096 years ago Msuya utahukumiwa kwa kutofuata maagizo ya kristo.
  • @
    @e.mbalazichannel41356 years ago Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
  • @
    @chasyrebeka31225 years ago Tafutawazati, hekima, busara, piakueshimika kupitia mungu kwamwanadau utapata machozi.
  • @
    @rameckjoseph38756 years ago Bwana alitoa na bwana ametwa jinalake lipewesifa. 6
  • @
    @HASASON6 years ago Hivi gwajima ni lini atajenga lile kanisa alilosema na kununua ile train? 2
  • @
    @millionviewsdigital4 years ago Https: //w. Youtube. Com/playlist? List=plkasb8zdtcl-jxnbrpy_0e-ydrnjlulzu
    soma biblia kila siku kwa njia ya audio.
    1
  • @
    @yahayaally4705 years ago Nikweli kabisa masanja kwa sababu sisi watanzania tunaongoza kwa rushwa matajir wote wange enda pepon.
  • @
    @wazidimahenge28116 years ago Haha masanja bibi alikuwa kweny promotion time. 2
  • @
    @nemohos48856 years ago Hivi kuna mtuu amemuonaga mungu au yesu? Kuna mtuu ambayo ameenda binguni au peponi? Saa nyingine ujinga ni ubaya. Ukishakufa basi tuu amna kitu kinaendelea. . ...Expand 1
  • @
    @paulvenance68434 years ago Da!
    umefariji hadi sahau kama uko na msiba.
  • @
    @teresiamsekwa17516 years ago Masanja umezd kuchekesha bhana mpaka ubavu wauma.
  • @
    @drmadofetv74776 years ago Doctor madofe tiba asili yupo kwaajili yenu, kutoa majini wachafu, kuzuiya majinamizi, kushika wezi, zindiko la mali, kumvuta mpenzi, kusafishwa nyota, . ...Expand
  • @
    @shomarimsuya82046 years ago Nyie hukumu itoke wap na wakati yesu kashabeba dhambi zenu! 9
  • @
    @stevenmligo87346 years ago Jamani tumesahau kwamba kuna sherehe mbili. Ambazo ni kuzaliwa na kufa. Tuwe tunasoma biblia jamani ee. Ubishi. 18
  • @
    @salmaothman1535 years ago Hapo ndo wanaponiacha hoi mm nilifikiri sherehe kumbe msiba.
  • @
    @abdulysheky10576 years ago Ningeamini gwajima ni mfufuaji wafu kama angelimfufua mama yake. 4
  • @
    @edwardjulias33756 years ago Na wew umekisea sio shereh mbili soma vizur biblia.
  • @
    @KA-yz2ld4 years ago Lol kwa m/mungu tumetoka na kwake tutarudi. 1
  • @
    @hollynationproductions63266 years ago Mbona kama sielewi elewi jaman hii nisheree au msiba maana naona jeneza. 1
  • @
    @elizabethmwandu98996 years ago Mmhu huu msiba au nini? Manake si kwa vicheko hivyo. 1
  • @
    @hechihechie55585 years ago Mm nifiwe na mzazi wangu alafu nimwone mtu anafanya km anachekesha siwezi kumpenda. 2
  • @
    @zanzibaronlytv34706 years ago Sasa ngwajima c unafufuaga watu ww, tunaomba utufufulie masi mzee wetu. 3
  • @
    @shaabanmrishoshaaban19454 years ago Wee kama unamuamini mungu tuelezee kwenye hi haleluya yako sheria afanywe nini au utungiwe ya kiumbe ndio mungu hakua na sheria kakuletea upako tu wa kudanganya watu.