Duration 3:35

Zijue faida za Parachichi kwenye Mwili wako Afya Maisha

106 watched
0
5
Published 8 Jul 2021

Togolay24 TV ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti matukio ya burudani yanayowahusu watu mashuhuri katika muziki, filamu, michezo nk, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu 3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu *Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake #Afyayako #Maishayako

Category

Show more

Comments - 1